Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Kuwika kila ukitaka kuunguza nguo!Eti, huyo jogoo alikuwa na kazi gani?
View attachment 1762082
Ndio. Kwani utajuaje kuwa wanafunzi wa vyuo wanaongoza kwa kula mihogo kama hujachunguza?Huu kweli ni uchunguzi?
Kuna wakati naye huwa anachoka jamaa wanakamatwa hasa wakizidisha, kama yule aliyesema Kenya isihusishwe na ulipaji wa madeni yaliyokopwa na Uhuru bali yachukuliwe kama mkopo binafsi kwake na familia yake eti kwa vile ni matajiri sana basi wataweza kuilipa hiyo mikopo huko mbele ya safari lakini siyo kuibambikia Kenya. Na nadhani sheria yao ya makosa ya mtandao siyo kali kama yetu na kidogo...na ana ngozi ngumu.Miongoni mwa marais wenye uvumilivu ni Uhuru[emoji16]
Ushindweee [emoji860][emoji860][emoji860][emoji16][emoji16]Wasukuma bnaView attachment 1762156
Hii kweli kabisa