moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,142
- 770,237
Ndoa maana kuna ndoa ya mke zaidi ya mmoja.Hapana sio hivyo. Idadi wanawake ni kubwa sana kulinganisha na wanaume,
Vifo vingi ni vya wanaume
Wanaume wanafungwa wengi kuliko wanawake
Mashoga etc
Kwa mrengo upi huo kushoto au?Ndoa maana kuna ndoa ya mke zaidi ya mmoja.
Muwe mnaelewaga hilo
Duuuh! Wanawake shikamoni


TaratibuKwa mrengo upi huo kushoto au?
Ina maana mwanaume mmoja halafu wanawake wawili ili?
....ha ha haa, Una hatari sana weye!Kuna mizigo mingine yaani ni lazima tu ugeuke potelea mbali hata ufyatue pingili za shingo!
.......usije kuua wajasiriamali wakitafuta lita moja ya sumu ya nge!Wajasiliamali kazi kwenu View attachment 1759382
🤭🤭🤭.....wanasemaga bahati haiji marambili.......
......Ukimpata nafasi, Tumia......View attachment 1759984