Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,436
- 18,490
Nani anataka kushare hilo dude?Kama ndo hvyo sasa mbona tukisema tuwawowe wawiliwawili au watatuwatatu munatukimbia...si ndo u selective wenyewe huo😅
Nani anataka kushare hilo dude?Kama ndo hvyo sasa mbona tukisema tuwawowe wawiliwawili au watatuwatatu munatukimbia...si ndo u selective wenyewe huo😅
Mbna kichwa kimoja masikio mawili...😉Kwa mrengo upi huo kushoto au?
Ina maana mwanaume mmoja halafu wanawake wawili ili?
Mtungi hauchagui kata.....ndomana walisema siri ya mtungi haijuae kata.Nani anataka kushare hilo dude?
Roho yangu roho yangu.Nimefuta sweetie![]()
Akuu, kumbe wewe una tamaa ya vitumbua sio?Mtungi hauchagui kata.....ndomana walisema siri ya mtungi haijuae kata.
Acha ubinafsi bhna, unafahamu faida za u shareholder wewe...😅
Nikiwa na njaa lakini...😅Akuu, kumbe wewe una tamaa ya vitumbua sio?
Hahahaaa, ila wenyewe miaka 60 ya uhuru wameshindwa kutatua changamoto ya mafuriko na kazi haijawashinda