Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Kuweka kiberiti tena ndiyo mbinu gani hii wanawake jamani? Mtatuua na presha evenchuale...
Hapo Ustaadh, kula kuona tu.Tumefika chungu cha ngapi?
View attachment 1758858

Hahahaha hii initokea kwa kaka yangu, tumekaa na wifi na watoto wake tunamsema kumbe katusikia mwanzo mwisho yaani alivyokohoa tulikuwa wadogo kama piritoni.
Kuweka kiberiti tena ndiyo mbinu gani hii wanawake jamani? Mtatuua na presha evenchuale...
View attachment 1759330