Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384




Na mara nyingi utakuta ni kakimbaumbau hatari lakini kakiwaka ndo kamewaka. Kutafutiana madakesi tu bila sababu za msingi.......wadada/wamama bhana! Uthubutu wanaupataga wapi sijui Toba Yarabi!View attachment 1758841



Kuna mizigo mingine yaani ni lazima tu ugeuke potelea mbali hata ufyatue pingili za shingo!....halafu unakwenda nyumbani, unamweleza mkeo kwamba shingo linauma na hujui kwa nini.......View attachment 1758840