Hapana sio hivyo. Idadi wanawake ni kubwa sana kulinganisha na wanaume,Wadada ni selective sana, ndio maana wanazeeka hawajaolewa[emoji13]
Haaaaa Haaaaa 😂[emoji23][emoji23]View attachment 1759629
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1758586View attachment 1758587
Idadi ya wanawake ni kubwa ndio na bado mnachagua sana[emoji2]Hapana sio hivyo. Idadi wanawake ni kubwa sana kulinganisha na wanaume,
Vifo vingi ni vya wanaume
Wanaume wanafungwa wengi kuliko wanawake
Mashoga etc
Sio mtoke na yeyote, ila msiwe mnachagua sana!!Ndo hivo, unataka tutoke na yoyote yule anaekuja mbele yetu kisa?
Ni aina furani ya kioja