Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Yaan jamani, Kama Mimi nakula balaa ila sinenepi eti jamani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Vimbaumbau dah! Vingine vinafukia misosi hatari lakini kunawiri ng'o. Viguse uone sasa....motooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Bageshi usije ukaona hapa [emoji2099][emoji2099][emoji2099]View attachment 1753174
At least leo umetupumzisha vimbao vimbao.Niliwahi kufanya huu utopolo wa kuingia leba. Maweeeee...Nawaheshimu sana wanawake aisee. Mama zetu hawa wameteseka sana kutuleta hapa duniani.....
NsamakaAt least leo umetupumzisha vimbao vimbao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]