jr.kiyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 796
- 4,881
Chung cha 3 na Ndio kwanza saa nne asubuhi 

...
Sent from my HUAWEI KII-L21 using JamiiForums mobile app

...
Sent from my HUAWEI KII-L21 using JamiiForums mobile app

...
HahahaChung cha 3 na Ndio kwanza saa nne asubuhi...View attachment 1753418
Sent from my HUAWEI KII-L21 using JamiiForums mobile app
Hii sio mchezo. Kufunga kunataka Imani kubwa, halafu njaa ilivyo na sifa ikiona umefunga inaanza kuuma saa 12 asubuhi huku umelala.Chung cha 3 na Ndio kwanza saa nne asubuhi...View attachment 1753418
Sent from my HUAWEI KII-L21 using JamiiForums mobile app
Hii pic siipende haswa naona kama ala uchafu wangapi wamenawa huko mikono?
Daa hivi viatu au kuni zakuwashia moto???
Hahahaha jamani vingine uchovu tuu.. Si mnajua vibinti vya siku hizi vilivyo na fujo kunako?Chung cha 3 na Ndio kwanza saa nne asubuhi...View attachment 1753418
Sent from my HUAWEI KII-L21 using JamiiForums mobile app
Uwii jamani hapo daa hapana, ila kila mtu moyo wake huenda ni pesa

Pesa mama, pesa !!!Uwii jamani hapo daa hapana, ila kila mtu moyo wake huenda ni pesa![]()
Dah sophia kamfanya nini jamaaa 😄😄😄