moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,236
- 775,716
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan jamani, Kama Mimi nakula balaa ila sinenepi eti jamani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan jamani, Kama Mimi nakula balaa ila sinenepi eti jamani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji16][emoji16][emoji16]dada alicheza kama pele!! Ndio maana wanatuulia babu zetu wapate viiunua mgongo!Kweli tumetofautiana, nikiwa secondary kuna dada alikuwa rafiki wa dada yangu kaolewa na afisa wa police Mzee kabisa nikamuuliza sister, vipi huyo mwenzio sister akacheka kweli, kasema pesa mdogo wangu mwenyewe anasema anasubilia pesa ya kinua mgongo, kweli yule Baba katangulia dada sahizi kaoa nayeye!
Diclaimer: Hawa ni Waluhya siyo Wasukuma. Na ushahidi upo [emoji16][emoji16][emoji16]
Watu na makabila yao