Aiii jamani sio vizuri,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shoti pipo...mnataniwa sana!
View attachment 1735129
Ndugu wai anaumwaView attachment 1753284
Halafu Sophia pisi kali dah!Dah sophia kamfanya nini jamaaa [emoji1][emoji1][emoji1]
Si inaruhusiwa usiku?Chungu ya 3... Bado ngapi?[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1753585
Kweli Baba yangu pesa, ila daa inahitaji moyo mkubwa[emoji1][emoji1][emoji1]Pesa mama, pesa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani na unavyoitoa kwa haraka sasa duu!
Daa kelele zote kumbe wanazunguka wenyewe humo humo!
Pesa ndio kila kitu mkuu[emoji16][emoji16]Uwii jamani hapo daa hapana, ila kila mtu moyo wake huenda ni pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli tumetofautiana, nikiwa secondary kuna dada alikuwa rafiki wa dada yangu kaolewa na afisa wa police Mzee kabisa nikamuuliza sister, vipi huyo mwenzio sister akacheka kweli, kasema pesa mdogo wangu mwenyewe anasema anasubilia pesa ya kinua mgongo, kweli yule Baba katangulia dada sahizi kaoa nayeye!Pesa ndio kila kitu mkuu[emoji16][emoji16]
Aseee, Job huyu huyu au mwingine?Ndugu wai anaumwaView attachment 1753284