Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Mh. Kigwangalla ana maoni gani kuhusu hili?
Niliwahi kufanya huu utopolo wa kuingia leba. Maweeeee...Nawaheshimu sana wanawake aisee. Mama zetu hawa wameteseka sana kutuleta hapa duniani.....[emoji23][emoji1768][emoji23]View attachment 1752752
Hiyo video unayo unirushie? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mbaya zaid kwasisi ke ni kuona mwanaume wako anaomba vidio ya hamo ya uchi khaaa
Hivi hali ganja kweli huyu!?
Je mtu wa mortuary angeamua kufanya kama yeye je?