[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vita vya upanga vyapiganwa kwa mapanga[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mumie nimeshiba[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1752853
Kama ameshaangusha nyonyo hivyo, atashindwaje kuangusha mangoma!!DJ Drops. What a name! [emoji16][emoji16]
View attachment 1753178
Chief! Tuombeane kheri, sio shwari.[emoji23][emoji23][emoji23]wew hata ukifunga kazi bure, yule kaka anakuhusu tu!
Ingia uswahilini utawakuta kila mtaa! Wazima kabisa!
Haswaa kweli kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama hamna baridi ukurudi na nguo na Mafuta lazima ukute kanajitetemesha mdomo. Watoto wanatupa Raha Sana.
Huyu Mzee ananipa Raha Sana.
Ukitaka kukaweza kafute harakaharaka kapake Mafuta, kavalishe ,kama kamekula ukikapakata hapohapo Kanalala. Ndio maana kuna watu Wana msemo kuwa ' Mzazi hawezi kuua mtoto lakini mtoto anaweza kuua mzazi'.Haswaa kweli kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16]nakuombea heri mkuu, najua lazima tupite tu!!Chief! Tuombeane kheri, sio shwari.