Wanaume mpo wapi mbona sikuoneni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani jamani. Hiki Sio kituko [emoji134][emoji23][emoji1768][emoji23]View attachment 1752752
Mie wa kwangu huwa nawawekea kila kitu kabisa hadi mafuta ya kujipaka ndio naenda kuwaogesha [emoji1787]
Hata kama hamna baridi ukurudi na nguo na Mafuta lazima ukute kanajitetemesha mdomo. Watoto wanatupa Raha Sana.Mie wa kwangu huwa nawawekea kila kitu kabisa hadi mafuta ya kujipaka ndio naenda kuwaogesha [emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
John madhambi