Kimeumana...kala mayayi , kala mtagaji, sijui kama kinyesi kimesalimikaUmepitwa na udaku.
Nenda Insta ukaone wadaku wanavyomwaga povu.
Siwezi kuongea mengi maana tupo kwenye mfungo View attachment 1751744









Amekula kuku na mayai yake, ila pia anasifikika kwa kubarikiwa kunako kifanyio chake.Hivi kafanya nini Kondeboy?
View attachment 1751710
Vodacom wamejitetea😂