Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20210412_194132.jpg
 
na ndio maana nashanga sana mtu anahangaika sijui kukodi wahuni waka mle tigo mwanaume mwenzie. yote hayo nikutokana na kujiaminisha kwamba upo peke yako kwenye mbususu
Huo huwa ni ujinga au mihemko tu inayotokana na "mke anauma sana" na athari za mfumo dume. Mwenye kubeba lawama ni mke na si vinginevyo. Wafumaniaji wengine mpaka huwa wanaishia hata kuuwawa wao. Yaani mtu unapoteza maisha kipumbavu tu.
Kuna wakati unalazimika kumaliza mambo kihuni namna hiyo ili nidhamu ipatikane.
Ikibidi mtu aliwe kiboga ili kutengeneza heshima.
Ninazo shuhuda kadhaa zilizolazimisha matumizi ya nguvu ya aina hiyo ili kumaliza sintofahamu za kuchapiwa
Sijui bhana, labda ni kwa sababu ya maeneo ya uswahilini tuliyoishi watu walikuwa hamnazo
Lakini zamani miaka kadhaa iliyopita nilimuona mtu mmoja, alionywa sana na wazee wa mtaa, kutokana na kile alichokuwa anakifanya kwa mke wa jirani yake,
jirani ambaye ni kipenzi cha watu kwenye eneo hilo.
Kilichomkuta mtu huyo hatakuja kukisahau ikiwa yupo hai huko aliko.
Huwezi kuamini, mikakati yote lilipangwa na majirani wa mwenye mke.
Kama kulikuwa na mihemko basi wale majirani walikuwa na mihemko zaidi kuliko mwenye mali zake.
 
Back
Top Bottom