moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,133
- 770,217
Kilikuwa kituko cha mwaka
Kilikuwa kituko cha mwaka
Siasa ni UNAFIKI tuOgopa sana mtu aitwaye mwanasiasa !!!
View attachment 1743140
View attachment 1743141
View attachment 1743142
View attachment 1743145
Kwahiyo hawa wote waliumizwa ila walivumilia kwa shida tu!!?
Hilo lisikupe shida.Haaminikiiíiii
Kusafirisha huo utamu
Hata mimi sijui mkuu ila wana waTanganyika tunalalamika kweli kweli. Uzuri ni kwamba serikali yetu ya mama imesikia kilio chetu.Hivi niulize,kwani Bei ya vifurushi imeongezewa kiasi gani,naona Ndugu zetu Wana wa Tanganyika mnalalamika sana
Sijui kwa nini hatuungana pia na Rwanda katika muungano wetu
Huyo ni kushika mkono na kumpeleka chumbani akachezeeeeee




Pasaka inaenda kwa mwendo huu pande zetuView attachment 1743246