Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Uamuzi ni wako
FB_IMG_1617556148547.jpg
 
Uongozi Muhimbili umedai hautaondoa mashine ya nyunguView attachment 1743411View attachment 1743412
Kwani wakifuata sayansi na nyungu zikaendelea kupigwa kuna tatizo? Nimependa majibu ya Muhimbili. Kwamba wanaifanyia utafiti wa kisayansi nyungu kama ni tiba - sawa tu na hizi chanjo ambazo kimsingi hatujui madhara yake huko mbele ya safari hasa ukizingatia kuwa zimetengenezwa kwa kutumia tekinolojia mpya ambayo hakuna anayejua madhara yake ya muda mrefu. Kwa huu ugonjwa hakuna mwenye majibu mepesi.
 
Back
Top Bottom