Kama unafahamiana naye huyo dogo, fanya kunipa namba ya wakala nimtumie hela ya SikukuuView attachment 1742988
Pasaka njema. Karibuni nachoma viazi
Kuna tatizo hapa sio bureView attachment 1742988
Pasaka njema. Karibuni nachoma viazi
Sijaona tatizo hapa. Nimeshaona ujenzi huu na ni style tu japo kwangu huwa hainipendeziKwa mawasiliano tupigie
Tunajenga majengo aina zote.
Fundi Maiko Constraction ltdView attachment 1742995