Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20210328_014257_291.jpg
 
Sasa kwani hiyo niliyoandika hapo ni Kireno au Ki Hispania?
We soma na uitafsiri kwa lugha zetu mbili Kisw na Kiingereza. Basi sema na mtakatifu kwa Kireno na Hispaniola.
Mimi nilikuwa nafafanua tu kuhusu huyo mchezaji wa Ulaya uliyemtaja kuitwa Jesus (Hesus). Kuna uwezekano mkubwa ana asili ya Uhispania, Ureno au mataifa yanayozungumza lugha hizo. Na uelewa wangu unakomea hapo.
 
Kawaida tu......mbona Lucas Kikoti wa Namungo FC anaitwa MTAKATIFU wa Kusini?
Si hata kuna mchezaji huko ulaya anaitwa Jesus?
Jesus...Ni jina la kawaida kwa watu wanaoongea Kihispania na Kireno na inatamkwa Hesusi na siyo Jizazi.
Gabriel Jesus wa Man City ni rai wa Brazil ambao wanaongea Kireno kama moja ya Lugha rasmi nchini humo.
Mi binafsi majina yake yote mawili yananifikirisha sana.
FB_IMG_1616912219797.jpg
 
Back
Top Bottom