Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Nakujua kaka, wewe uko na allergy kabisa na wenye miili yetu midogoHalafu bageshi unanifumaga nikiwa ninejiachia balaa
Ūlīmhola nkoyi?



Uzuri ni dhana tata na changamano sana mpendwa; na wakati mwingine unaweza kufungamanishwa na hadhi ya mtu kijamii na hata kiuchumi. Ndiyo maana tunaambiwa penda ukipendacho. Hujambo lakini?Uzur gan sasa mpk watu wajiuee
Huyu mbwa au tandu?
Uzuri ni dhana tata na changamano sana mpendwa; na wakati mwingine unaweza kufungamanishwa na hadhi ya mtu kijamii na hata kiuchumi. Ndiyo maana tunaambiwa penda ukipendacho. Hujambo lakini?
Hahahahaha...shi ngapi?