Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aisee. Hawa jamaa wanaongelea bajeti tangu ya nguo kwa mwaka mzima na chenji inabaki.

Hapo chombo zangu 110k napata kadet 11
100k napata shirt 20

25k nalamba kiatu pea mbili chap


Hawa jamaa wana utani na pesa zetu
Screenshot_2021-03-27-22-24-57-99.jpg
 
Back
Top Bottom