[emoji26][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anajisokomeza lote hilo na kujitwanga sawasawa halafu siku ukikutana naye utasikia hujaniridhisha. Nitakuridhishaje wakati umezoea kujisulubu na matango? Shwaini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Labda kwa sababu boys wanakuwa bado kwenye kubalehe, kipindi kile wanakuwa na viburi vinapelekea kutoheshimiana!Hivi kwanini boys are like that..!!?
Mamba kakutana na balaa zito [emoji16][emoji16]Tulia ulambe dawa ..View attachment 1736274
Dah Africa watu walishajichokea na maisha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1736312
Halafu tuache kuitwa vibamia?[emoji26][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1736339
[emoji28][emoji16][emoji16]
Kawaida tu......mbona Lucas Kikoti wa Namungo FC anaitwa MTAKATIFU wa Kusini?
Na Nyerere inakuaje?!Hapana, anaitwa Baba wa Taifa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh[emoji16][emoji16][emoji26][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1736339
Jesus...Ni jina la kawaida kwa watu wanaoongea Kihispania na Kireno na inatamkwa Hesusi na siyo Jizazi.Kawaida tu......mbona Lucas Kikoti wa Namungo FC anaitwa MTAKATIFU wa Kusini?
Si hata kuna mchezaji huko ulaya anaitwa Jesus?