[emoji28][emoji28]Aseee, huyu jamaa siyo bure
Dar sijaishiKama uliwahi kuishi Dodoma, Mbeya au Dar hiyo kitu lazima unaijua
Aisee, Money, Money, Money.Sleep sleep shoppingView attachment 1722247
Basi sawa, vingine viache, siyo lazima uvijue.Dar sijaishi
Dodoma kwa miaka yote niliyoishi nimeishi pembeni Ya mji.
Mbeya sijawahi kuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi sawa, vingine viache, siyo lazima uvijue.
Maana hata ukivijua vitakuletea taharuki buree
Nyumbu bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Muokozi mbele ya meno ya Maba mwenye njaaView attachment 1722367
Mtuwache [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Mkazi wa Bukombe akiwa mbele ya kibanda alichojenga kuhifadhi mbuzi wake kuwakinga na Fisi wa kufuga wanaolanda landa mitaani ambao ni tatizo kwa wafugaji wa mbuzi.
Asanteni WasukumaView attachment 1722356
Wanaume kama mabinti [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Ndege wa rangi moja.....View attachment 1722354
Anatumika Kama fisi ..