Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20210301-205233_Facebook.jpg
 
View attachment 1721250
Mtaalam wa kufua kwa mkono mmoja😅😅😅😅😅 CHAPUTA Senior Member
Hii tabia hii iniepuke kwakweli, kuna kipindi nilikuwa natumia ule muda wa kuswaki😆😆😆😂😂😂😂
Mkono mmoja mdomoni, mmoja unateleza. Sasa wazungu wakiwa wanakuja lazima kasi ya mswaki mdomoni iongezeke! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom