GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 20,042
Hahahaaa we jamaa wewe. You made my eveningHii tabia hii iniepuke kwakeweli, kuna kipindi nilikuwa natumia ule muda wa kuswakiπππππππ
Mkono mmoja mdomoni, mmoja unateleza. Sasa wazungu wakiwa wanakuja lazima kasi ya mswaki mdomoni iongezeke! πππππππ€£π€£π€£π¬π¬π¬πππ


