njoo usukumani mkuu mbona kawaida sana hiiHivi fisi anatumikaje kama chombo cha usafiri?
Ni kama punda au farasi ?
Kwa eneo ninaloishi hata punda sijamuona acha fisiKwani we ushawahi kumwona fisi mtaani anatembea Kama punda ?
Kabla sijafika huko naomba angalau ABCD namna mnyama huyo anavyotumika pande hizonjoo usukumani mkuu mbona kawaida sana hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aseee, huyu jamaa siyo bureJamaa anatuangusha[emoji28][emoji28]View attachment 1722237
Mbuzi wa kufuga
Fisi wa kufuga.
Kama uliwahi kuishi Dodoma, Mbeya au Dar hiyo kitu lazima unaijuaKweli