Hao hawana shidaNa wadada wafupi je!
Nimecheka hadi nikalia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dalili za virusi vya Corona kimsingi ni hisia zile zile unazopata wakati mke wako anaangalia simu yako... Kwa wale ambao utulivu ni sifuri.
Unaanza kuona ugumu katika kupumua
*Jasho jingi
*Udhaifu
*Maumivu ya kichwa
*Kuumwa tumbo nk.
*Na wakati anauliza Manka ni nani? Kikohozi kikavu huanza ghafla...
[emoji23][emoji23]Nimecheka hadi nikalia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Daaa, kazi ya utumishi ngumu sana[emoji16][emoji16]View attachment 1714982
Wafrika wenyewe hawatanunua hiyo[emoji849][emoji16][emoji16]View attachment 1714970
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muwe mnatuoneaga huruma jamani. Kuna ulazima hata wa kukagua simu kweli bageshi?Nimecheka hadi nikalia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mzaramo pyua kamwe hatazima labda umzimishe fizikale kwa ama kumziba mdomo au kumtwanga ngumi ya kichwa apoteze fahamu kwa muda. Tena ukute ni kimbaumbau uwiiii umekwisha [emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211][emoji1787][emoji1787]View attachment 1714995
Yeah! It's me Lord. I repent. Please let your grace cover all my transgressions...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ila jamani tuseme tu ukweli. Mtako kwa mwanamke ni kitu cha muhimu sana aisee. Ona hili toto hapa. Limo kwenye dera lakini mtako upo tu unachombeza...[emoji16][emoji16]View attachment 1714982