rukia16
JF-Expert Member
- Feb 27, 2020
- 2,978
- 31,040
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzaramo pyua kamwe hatazima labda umzimishe fizikale kwa ama kumziba mdomo au kumtwanga ngumi ya kishwa apoteze fahamu kwa muda. Tena ukute ni kimbaumbau uwiiii umekwisha [emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211]