Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji818][emoji818][emoji818]
Itabidi nipunguze kula viepee [emoji16][emoji16]Huyu mwana vipi? Afya mbovu, netiweki imegoma, kazidiwa sana au ni mwanaume wa Dar? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1712082
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji2960][emoji2960][emoji38][emoji38][emoji38]Inamaanisha anakuona sawa tu na ng'ombe [emoji16][emoji16]View attachment 1712103
Hah hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dalili za virusi vya Corona kimsingi ni hisia zile zile unazopata wakati mke wako anaangalia simu yako... Kwa wale ambao utulivu ni sifuri.
Unaanza kuona ugumu katika kupumua
*Jasho jingi
*Udhaifu
*Maumivu ya kichwa
*Kuumwa tumbo nk.
*Na wakati anauliza Manka ni nani? Kikohozi kikavu huanza ghafla...
Tena yawe yamechota KisimaniiiiiiiHakuna maji matamu kama ya hii friji...
View attachment 1712079
Hicho cha kubebea umbea [emoji16]kina kazi gan icho cha nyuma wakubwaView attachment 1712421
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mmh[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji119]View attachment 1712178