Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,336
- 71,163
Kabisa mkuu[emoji16]Unaweza kumuona mtu ukadhani anawaza mambo ya maana kumbe utopolo tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1713428
Kabisa mkuu[emoji16]Unaweza kumuona mtu ukadhani anawaza mambo ya maana kumbe utopolo tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1713428
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1713432
[emoji28][emoji28][emoji28]duhUnaenda huko huko unatembeza kichapo kwake na huyo Mwamposa wake [emoji16][emoji16][emoji16]
Technical Attacks with long passes and distant shots towards the opponent goal...[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1713381
If u know u know.View attachment 1713441
Na wadada wafupi je![emoji3061]View attachment 1713438
Hapa walikaa wakatulia sana hadi kutoa huu msamiati "Boob" si mchezo... Limekamilika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ona sasa umekosa maksi tano kizembe sana.Mi ilibakia kidogo nipate hizo alama 5 lakini nikakumbuka kuna kipindi nilikuwa nikitumwa madukani kununua sigara wakija kuvuta wakibakiza nami naiba nakwenda kumalizia vile vipisi. Nakohoa weee lakini nimo tu mpaka siku moja nikafumwa na anko nikapewa kichapo cha uhakika na sikurudia tena mpaka leo. Thanks anko japo kile kichapo duh [emoji16][emoji16][emoji16]
Kusema kweli roho imeniuma kiaina [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ona sasa umekosa maksi tano kizembe sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Technical Attacks with long passes and distant shots towards the opponent goal...
Kwako mwalimu kashasha
Ndio nimejua leo hii kitu[emoji16][emoji16]Hapa walikaa wakatulia sana hadi kutoa huu msamiati "Boob" si mchezo... Limekamilika