Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji16][emoji16][emoji16]
152659259_450581562800426_7578287754399940378_n.jpeg
 
Haki ya nani tena sijawai vuta sigara.
Mi ilibakia kidogo nipate hizo alama 5 lakini nikakumbuka kuna kipindi nilikuwa nikitumwa madukani kununua sigara wakija kuvuta wakibakiza nami naiba nakwenda kumalizia vile vipisi. Nakohoa weee lakini nimo tu mpaka siku moja nikafumwa na anko nikapewa kichapo cha uhakika na sikurudia tena mpaka leo. Thanks anko japo kile kichapo duh [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom