Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Unaenda huko huko unatembeza kichapo kwake na huyo Mwamposa wake [emoji16][emoji16][emoji16]
Ha ha ha natakiwa nipate 0/30 au sio[emoji23]Si ajabu na hiyo 5 umedanganya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mia Khalifa.
hii sijaelewa alfu natamani kuelewa
Mkuu dah! We mbingu utaiona kweli wewe? Nenda ukamuone Mwamposa haraka. Unahitaji maombi [emoji16][emoji16][emoji16]Mia Khalifa.
Jamani daaaah!
Inabidi upate ziro tu kama miye aisee. Kupata ziro siyo jambo baya kihivyo [emoji16][emoji16][emoji16]Ha ha ha natakiwa nipate 0/30 au sio[emoji23]
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji141]View attachment 1713362
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]