Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mi ilibakia kidogo nipate hizo alama 5 lakini nikakumbuka kuna kipindi nilikuwa nikitumwa madukani kununua sigara wakija kuvuta wakibakiza nami naiba nakwenda kumalizia vile vipisi. Nakohoa weee lakini nimo tu mpaka siku moja nikafumwa na anko nikapewa kichapo cha uhakika na sikurudia tena mpaka leo. Thanks anko japo kile kichapo duh
Mzee wangu alifuma mahali nilipoficha lizla (tumisokoto twa kufungua bangi) nilitamani kupotea
 
FB_IMG_16131666954409111.jpg
 
Back
Top Bottom