Mkuu, tuwapo ugenini ustaharabu uwa tunautanguliza mbele, uwezi kusema chakula hakina chumvi ugenini kwani hujui mtindo wao wa maisha.Kwa nini mtu uteseke? Ukisema ndio utakuwa umewakosea heshima wenyeji wako?
Kwa hiyo kusema ukweli ukiulizwa ni kukosa ustaarabu?Mkuu, tuwapo ugenini ustaharabu uwa tunautanguliza mbele, uwezi kusema chakula hakina chumvi ugenini kwani hujui mtindo wao wa maisha.
Unadhani ni kwanini wengi wa watu wawapo ugenini ulaji wao nitofauti na pindi wakiwa kwao?Kwa hiyo kusema ukweli ukiulizwa ni kukosa ustaarabu?