Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,010
🤣🤣🤣 Haya bhana..umeamkaje lakini?Naanzaje sasa kukuacha..!?
CC Bantu Lady
Mimi nipo salama, hofu kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu huko 'Igawilo'.🤣🤣🤣 Haya bhana..umeamkaje lakini?
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Mimi nipo salama, hofu kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu huko 'Igawilo'.
Mtumishi kwa nini unamuulizia? 😳Huyu ni nani
Na bila kunyooshwa mambo hayaendi!Hapo zamani
View attachment 3062366