Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,010
Nilihama mbeya mie🙄
Hapo anasema "Naomba ujae kwenye mfumo"
Baba ni genius Harafu mama ana D mbili hawezi elewa🤣🤣
Kunywa supu tu tiketi aaah
Hii shule ningetoka nimemwaga kabisa🤔😂
Huyu ni nani
Hatuambiani mbona jamanii..!!?? Haya unapatikana wapi?Nilihama mbeya mie🙄
Igawilo🙄Hatuambiani mbona jamanii..!!?? Haya unapatikana wapi?
Igawilo🙄
🤣🤣🤣🤣 Nini bhana!? Niache🤒