Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,320
- 71,084
Mkuu unajua hata nzi angekuwa serious angekuwa anatengeneza asali nayeye kama nyuki. Ndio wabongo wengi tulivyoTatizo la nchi hii siyo kukosa majiniazi. Ni kutokuwatumia vizuri tulionao.
Ningekuwa na cheo haki ya nani Udisiii usingekosa. Pyua jiniazi!![]()
