King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,170
- 4,334
Hana baya. Ametufafanukia vitu vingi kuliko wachungajiKutana na mkenya aliyezaliwa na kukulia Tanzania a.k.a chinaboyView attachment 3062560
Mkenya ana matusi huyo, tena anatukana bila yeye kutukanwa kwanza. Kwa kifupi ana ubabe wa kifala mpuuziHana baya. Ametufafanukia vitu vingi kuliko wachungaji
Unajua tunaye mzungumzia?Mkenya ana matusi huyo, tena anatukana bila yeye kutukanwa kwanza. Kwa kifupi ana ubabe wa kifala mpuuzi
Tunamzungumzia eric omondi kutoka kaskaziniUnajua tunaye mzungumzia?
Ohooo. Sasa kwenye picha huyo ni braza Mshana JrTunamzungumzia eric omondi kutoka kaskazini
Huyu ndio juma mgundaKutana na mkenya aliyezaliwa na kukulia Tanzania a.k.a chinaboyView attachment 3062560
Nataka nimjue🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
Mtumishi kwa nini unamuulizia? 😳
Huyu ndio juma mgunda
Hao ni mashabiki wa yanga😳😳😳😳
🤣🤣🤣Hao ni mashabiki wa yanga
🙄🙄Aisee, paja limesuguliwa mpaka limepoteza rangi yake ya asili🤔🤔🤔🤔MmhhTuzingatie matumizi ya kondomView attachment 3063045
sio yeye huyo ni mtu mwingine kabisaOhooo. Sasa kwenye picha huyo ni braza Mshana Jr