kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,722
- 6,509
Narudia tena kila mkaka huwa ana demu fulani amabae anampaga hela bila kuombwa
Hii ni kweli lakini Mzee wa kupambania anatudanganya humu kua huwa hatoi pesaNarudia tena kila mkaka huwa ana demu fulani amabae anampaga hela bila kuombwa
Kurudi miaka mitano nyuma
Hakuna mwanaume bahili mbele ya mbususu ya motoHii ni kweli lakini Mzee wa kupambania anatudanganya humu kua huwa hatoi pesa
Hili swali la msingi sana