Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Free shopping GSM Mall☺️
Yamenipa hasara
Aiseee
Hahaha wazee wa Dar nawapenda buree, kaanzisha sokomoko ili ajipatie maokoto kiuraaini🤣🤣🤣
Magoma kwenye ubora wake 🤣
Basj atakua sahihi zaidi.Kwenye sintofahamu hizi pia kuna waliobahatika kupata wenye bikira naye aweza kuwa mmoja wao huwezi jua