Nilishapenda niliyedhani ni mke wa mtu nikawa nasali kabisa na kufunga ili mumewe afe. Nilikuwa
nakemea balaa kwa maombi ya vita, laana na maangamizi. Cha ajabu sasa baadaye nikaja kugundua kuwa kumbe wala hakuwa ameolewa. Nilipomwambia alicheka sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.