Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mkuu hii video sikuiona niliona ina trend twitter nikaipuuzia sema duuh kataa ndoa tunazidi kuchukua point 3
Prison guard aliliwa kwa hiari kabisa. Tena na wafungwa wawili. Kumbe ni mke wa mtu. Na wana katoto kachanga!

Wanasema kuwa pengine alifanya makusudi ili aachane na mumewe maana alijua kuwa ndani ya gereza kuna kamera 24/7!
 
Mnataka tuache memes tena tuwe motivesheno spikazi? Au hamjui kuwa motivesheno spikazi wengi ndiyo wanaongoza kwa kuwa na siteresi, wasiwasi na msongo wa mawazo?

IMG_20240709_140448_653.jpg
 
Kwa wapenzi wa ndondi. Huyu kifutu cheupe unamtambua? Alikuwa bondia mmoja machachari sana enzi zake mpaka alipokutana na Mexican worrior mmoja wa kuitwa Marco Antonio Barrera akapigwa kweli kweli mpaka akaamua kuachana na Boxing. Yuko kwenye Boxing Hall of Fame!

IMG_20240709_135633_442.jpg
 
Prison guard aliliwa kwa hiari kabisa. Tena na wafungwa wawili. Kumbe ni mke wa mtu. Na wana katoto kachanga!

Wanasema kuwa pengine alifanya makusudi ili aachane na mumewe maana alijua kuwa ndani ya gereza kuna kamera 24/7!
😥😨😧😧 Sad kwa kweli ukifikiria investment uliyoweka inakata sana hii ishu
 
Back
Top Bottom