Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Pimeni dna wakuuu


20240711_034952.jpg
 
Ukijitolea kwa mwanamke chukulia ni kama sadaka tu na usitegemee cho chote in return. A human being is capable of doing anything at anytime. Usitegemee kwamba eti ukimsomesha au kumjengea na kumnunulia magari ndiyo utanunua loyalty yake hapana. Ukitaka kwenda sawa na mwanamke wa hivyo, mzalishe; na hakikisha mtoto ni wa kwako. Hapo angalau atakukumbuka...
 
Ukichapiwa halafu ukaanza kutangaza ni kujidhalilisha tu. Mwanaume unapiga kimya tu huku ukiumia na kutafuta suluhisho kivyako vyako 😁
Kabisa Mkuu

Sisi miaka ya 47 tulichapiwa hadi kuletewa mimba zisizo zetu tulee, still tulipiga Kimya.

Hawa Vijana wa miaka hii, wanabeba watoto zao na kwenda kuwapima DNA kimya kimya 😜🙌

Wanasahau kuchapiwa ni Siri ya ndani
 
Back
Top Bottom