Unforunately mie hizi bahati hazinidondokei
Unforunately mie hizi bahati hazinidondokei
Kabisa mwanawane hawa ni kugeggeda na kusepazDawa ni kukojolea na kusepa mzeiya uki invest sana utakuja kufa
Ukichukulia Kila kitu serious, unaweza kuua ukamuacha mchuchu mtaani watu wakijipigia tu wakati huo wewe utakuwa nyuma ya nondo🙌Ni bora ubaki single asee kama ndo hivyo maana utazidi kupata ugonjwa. Wa moyo daily ukikumbuka investment ya shobo na hela uliyowekeza kwa mchuchu 😶
Hahah kwa kweli hapa mtaani kwetu kuna mama ntilie ni mjamzito wa 2nd born naendaga kula kwake daily kuna siku aliniomba buku nikamnyima sababu ni mke wa mtu. Kwanzia hiyo siku hadi leo akiniona ananihudumia ila ananuna.
Kwa kweliUkichukulia Kila kitu serious, unaweza kuua ukamuacha mchuchu mtaani watu wakijipigia tu wakati huo wewe utakuwa nyuma ya nondo🙌
Unaweza kutoa kama sadaka tu na ubinadamu basi; bila kutegemea cho chote in return. Cha muhimu tu asizoee kuomba omba sasa maana siyo jukumu lako.Hahah kwa kweli hapa mtaani kwetu kuna mama ntilie ni mjamzito wa 2nd born naendaga kula kwake daily kuna siku aliniomba buku nikamnyima sababu ni mke wa mtu. Kwanzia hiyo siku hadi leo akiniona ananihudumia ila ananuna.
Mimi principle yangu ndo hiyo i cant spend to a woman i ain't fucking hapana kwa kweli 😀 tit for tat