Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

exercise.jpg
 
Sema umasikini mbaya sana sana.

Nishawahi lala njaa siku moja first year mbona nililia na uzi nikaleta humu ndani sio kwamba sikula la hasha nilikula makande sema ndo hivyo sikushiba alafu yalikuwa mabaya yaani cha mtu mavi nimeamini.

Sasa ivi namshukuru Mungu nakula utamu utam 😀😀.

Nikipata chance ya kuiba kazini lazima nipite nayo you never know chakula na pesa tamu bana 😝😛😛
 
Kwa mioyo kama hii ya vijana wetu, ufisadi utakaa uishe kweli? 😳

Mtazamo wa Jamii kuhusu rushwa na mali za umma.jpg
 
Back
Top Bottom