Kumbe una msambwanda aiseee hatari
Upo wapi nika kununulie kitimoto?Aliyekula huu msosi alifaidi sanaa☺️
View attachment 3037470
Nakuogopa kama ukoma😂Upo wapi nika kununulie kitimoto?
Eeeh kumbe ukiwa single hutakiwi kunyoa vuzi 🤣🤣🤣🤣
Kwanini?Nakuogopa kama ukoma😂
Sitaki mambo ya picha za kuedit🥸Kwanini?
Ningekua nishatolewa mahari muda tu! Ila mkwe wako kasema kichwa chako kibovu haleti! Unanitia aibu humu jf ujue🤔Eeeh kumbe ukiwa single hutakiwi kunyoa vuzi 🤣🤣🤣🤣
Aisee basi wee utakuwa na bonge la forest 🤣🤣🤣🤣🤣
Aibu wajitia mwenyewe mie nakwambia njoo kwangu tupunguze vuzi hilo hutakiNingekua nishatolewa mahari muda tu! Ila mkwe wako kasema kichwa chako kibovu haleti! Unanitia aibu humu jf ujue🤔
Nimelia sana kunisingizia nina edit picha, hivi kumbe kuna watu wanaamini zile picha za ku edit?Sitaki mambo ya picha za kuedit🥸
Mimi nilishakwambia nilikuona upo jf ulivyoacha simu Mzee wangu nikaview profile nikakuta username ni mzabzabAibu wajitia mwenyewe mie nakwambia njoo kwangu tupunguze vuzi hilo hutaki