Naam huyu ni mimi
Huwa hatuchelewi kutoa ahadi zisizotekelezeka, mi sa hivi nadaiwa Range Rover 3 na nyumba..
.. Sijui wenzangu hukoUtamu kunoga😀Huwa hatuchelewi kutoa ahadi zisizotekelezeka, mi sa hivi nadaiwa Range Rover 3 na nyumba.... Sijui wenzangu huko
Hiko kipindi kichwa cha chini ndio kinatoa maamuzi..😂Utamu kunoga😀
Hajazoea nini ati?Hakajazoea 🙈🙈🙈🙈
View attachment 3037433
Umesema sahihi Mjukuu, Kijana akisema atuige Wazee kutoa zawadi za Ukubwa huo atajikuta hadi anafikisha miaka 60 anakuwa hajanunua hata Kiwanja cha 30x30 cha kuwaachia urithi watoto wake 🙌😜
Wazee muheshimiweUmesema sahihi Mjukuu, Kijana akisema atuige Wazee kutoa zawadi za Ukubwa huo atajikuta hadi anafikisha miaka 60 anakuwa hajanunua hata Kiwanja cha 30x30 cha kuwaachia urithi watoto wake 🙌😜
