Aibu aibu aibu 🙂🙂
Watanzania wana hela bhana, ila huyu akiambiwa alipe pamoja na 18% ya VAT atalalamika mpaka mbingu zipasuke.🙄🙄
Jaji adakwe akahojiwe, maana hakuna namna
Kosa kubwa sana kupeleka hela hizo kwenye Halmashauri zilizojaa wabadhirifu
Kuna harufu ya uhalifu hapo.
Naye atakukabili pia.
Laiti watu wangejua uchafu wa balozi Ami Mpungwe wangempuuzialia mbali.
Unamkula vizuri mpaka X wako ajue🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Limepigwa show la hatari mpaka mzee baba katepeta.
Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime.......
Hata mama anaweza kushangaa🙄
Mbona wanaohangaika kumchomoa hapo ni wanaume watupu, wamama acheni ulongo bhana
Akili za kimasai, unamiliki kundi la ng'ombe alffu 5 unaishi mwituni, huna nyumba nzuri, huna nguo, unakula chakula cha ovyo kisa kulinda utajiri.
Wakoloni walipokuja Afrika walisema tuna mila za ovyo, Nyerere alibisha.
Wengine walazimishwe wafanye kama yeye