Basi huwa napoa humu muda mwingineHahaha hili chimbo kweli sijawahi kuliona
😅 hili kweli ni chimbo haswa.Basi huwa napoa humu muda mwingine
Kumbe ndoa mnazitaka ilaa kitwa kutusimanga hapa
Wameamua kujilipia...wee endelea kusubiri mwanaume au mwanamke wa weye peke...utasubiri mpaka yesu atakaporudi
🤸🤸🤸Mimi simoKumbe ndoa mnazitaka ilaa kitwa kutusimanga hapa
Kabisa ata mwanamke wako usimind akichepuka ni katika kusaka style mpya ili akuridhishe kitandani. Tuache wivu wa hovyo