wameamua kwa makusudi kuzika ukoo
kutuwazia mabaya tuu hawa viumbe...nakwambia bahati yao mbusus zao tamu
kumbe kukimbia mnaweza
alafu ata mwanaume anayepumua wakukuwowa huna
mwanamke matiti na tako bwana
Me nilishaacha kufukuria kuhusu umri wangu
Ukweli mtupu
2027 inshallah 😃😃😃
Mnataka nife bila kula pilau lenu nyie2027 inshallah 😃😃😃
🤣🤣🤣Watakula wajukuu zako pilau letuMnataka nife bila kula pilau lenu nyie
Acheni roho mbaya jamani mie nataka kula pilau hilo na nidemke kwa raha zangu🤣🤣🤣Watakula wajukuu zako pilau letu
Hujambo jiraniJirani kwema....